Psalms 145:1-2

Wimbo Wa Kusifu Ukuu Na Wema Wa Mungu

(Wimbo Wa Sifa. Wa Daudi)


1
Zaburi hii imetungwa kila mstari (ikiwa ni pamoja na 13b) ukianzia na herufi ya alfabeti ya Kiebrania zikifuatana tangu Aleph (A) hadi Taw (T); zote ni 22.
bNitakutukuza wewe, Mungu wangu Mfalme,
nitalisifu jina lako milele na milele.

2 cKila siku nitakusifu
na kulitukuza jina lako milele na milele.

Copyright information for SwhKC